iqna

IQNA

Ukanda wa Ghaza
TEHRAN (IQNA) - Mauaji ya kikatili ya utawala wa Israel dhidi ya raia wasiopungua 500, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, katika hospitali moja huko Ghaza siku ya Jumanne yaliibua shutuma na hasira kutoka sehemu mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3477762    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/19

TEHRAN (IQNA) - Kufuatia mawimbi ya hivi karibuni ya jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya watu wa Ghaza, hususan shambulio lake katika hospitali iliyoua takriban watu 500, kaburi la Imam Reza (AS) Lilinyanyua bendera nyeusi tarehe 18 mwezi Oktoba.
Habari ID: 3477761    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/19

AL-QUDS (IQNA) - Jeshi la utawala ghasibu wa Israel katika uhalifu wa kinyama lililenga hospitali ya al-Ahli Arabu huko Ghaza wakati wa shambulio la anga siku ya Jumanne, na kuua zaidi ya raia 500, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, na kujeruhi mamia ya wengine.
Habari ID: 3477760    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/19

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala haramu wa Israel limeua zaidi ya Wapalestina 254 na kuwajeruhi wengine wasiopungua 23,000 tokea yaanze 'Maandamano Makubwa ya Haki ya Kurejea' ambayo yalianza kufanyika kila Ijumaa kuanzia Machi 30 mwaka 2018.
Habari ID: 3471816    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/23